NJIIMNET

Olorok Enterprises Limited

NJIIMNET app icon
0.0 starsFree
4+Version 5.6.1Updated 6/7/2026, 7:51:08 PM
Open in Store

Kwa miaka mingi, kununua au kuuza gari kumekuwa na changamoto. Bei zisizo wazi, ada zisizotarajiwa, na maamuzi makubwa bila taarifa kamili. Tumekutengenezea njia rahisi zaidi. Kama unataka kununua au kuagiza gari, NJIIMNET inakusaidia ku-: - Jua bei halisi ya gari kuendana na mwenendo wa soko - Nunua kwa bei ya haki - Okoa muda & nguvu - Pokea ofa nyingi kutoka kwa wauzaji - Linganisha bei kirahisi - Kwepa kulipa zaidi Kama muuzaji, NJIIMNET inakusaidia ku-: - Pata wateja wenye uhitaji - Uza bila kufanya matangazo - Fikia mteja sahihi katika muda muafaka - Jua bajeti ya wateja kabla hata hujaongea nao - Pata wateja bure - Chagua ulipe kamisheni au la - Lipia kamisheni utakapouza gari tu - Uza haraka zaidi - Pata taarifa za muhimu za wateja kabla ya kulipia chochote NJIIMNET unganisha moja kwa moja na wanunuzi na wauzaji wa magari, huku ikihakikisha uwazi na kurahisisha mchakato mzima.

Developer website
https://njiim.net
Released
2025-07-15T07:00:00Z
Current version
5.6.1