Tunzaa

Tunzaa Fintech Inc.

Tunzaa app icon
5.0 stars3 reviewsFree
4+Version 1.0.4Updated 9/19/2024, 8:41:04 AM
Open in Store

Tunzaa inakuwezesha kufanya malipo ya bidhaa na huduma kwa kiwango kidogo cha pesa kwa kasi yako mwenyewe moja kwa moja kutoka kwenye simu yako ya mkononi ili iwe rahisi kufikia malengo na mipango yako. BIDHAA HALISI NA HUDUMA ZENYE UBORA WA JUU. Tunzaa inahakikisha ubora wa huduma kwa wateja kwa kukagua watoa huduma wetu na pia tunazingatia bidhaa halisi na huduma zenye ubora wa juu. FUATILIA MALIPO YAKO Tunzaa inakupa uwezo wa kufuatilia kila pesa unayoweka kwa ajili ya lengo maalum, kama vile kununua vifaa vya nyumbani, vifaa vya umeme & mtindo na mavazi au safari. JIPIMIE Kuwa huru kujipangia muda wa kukamilisha malipo na Tunzaa. TAFUTA Urahisi wa kutafuta bidhaa yoyote kwa haraka. UJUMBE Pokea ujumbe wa kukumbusha kutunza pesa mara kwa mara. MALENGO Timiza malengo yako kwa kufanya malipo kwa usalama zaidi. MATUMIZI Epuka matumizi mabaya kwa kuzuia kutoa pesa hadi lengo litimie. ZAWADI Wanunulie zawadi wapendwa wako kupitia Tunzaa.

Developer website
https://tunzaa.co.tz
Released
2021-08-02T07:00:00Z
Current version
1.0.4

Screenshots

Tunzaa screenshot 1Tunzaa screenshot 2Tunzaa screenshot 3Tunzaa screenshot 4Tunzaa screenshot 5Tunzaa screenshot 6