Dating.co.tz

Heine Thunbo

Dating.co.tz app icon
0.0 starsFree
17+Version 1.4Updated 5/12/2022, 2:32:44 AM
Open in Store

Je, Unatafuta mwenza au mpenzi? App ya dating.co.tz itakukutanisha na masingo kibao ambao pia wanatafuta wenza. Ukishajiunga na mtandao huu na kuufanya wasifu wako kuwa wa kuvutia zaidi, hatimae utaweza kutafuta mwenza wa ndoto zako anayekidhi vigezo vyako. Pale mwenza wa ndoto zako anapopatikana, unaweza kutumia kitufe cha kuchat ili kupanga siku ya kukutana nae au unaweza kuchat nae ili kufahamiana nae vizuri zaidi kabla hamjakutana. App hii ni ya bure kwa 100% na kila siku tunakazana kuhakikisha App hii inakuwa bora zaidi ili kukuwezesha kutafuta mpenzi wa ndoto zako.

Released
2018-12-06T00:25:37Z
Current version
1.4

Screenshots

Dating.co.tz screenshot 1Dating.co.tz screenshot 2Dating.co.tz screenshot 3Dating.co.tz screenshot 4