Washa Tv

Lulez LLC

Washa Tv app icon
1,000+Free
EntertainmentEveryoneVersion 1.0.8Updated 7/10/2026, 5:47:00 PM
Open in Store
Washa TV ni application ya kisasa ya live streaming inayokuwezesha kutazama mpira wa miguu, movies, burudani, katuni, habari pamoja na channel mbalimbali za TV moja kwa moja kupitia simu yako.

Furahia streaming yenye ubora wa HD, kasi nzuri na muonekano wa kisasa uliotengenezwa kwa ajili ya wapenzi wa burudani. Washa TV inakupa uwezo wa kupata channel za bure na premium muda wowote na mahali popote.

Vipengele vya App:
• Kuangalia mpira live
• Movies na channel za burudani
• Katuni kwa watoto
• Habari na sports channels
• HD live streaming
• Muonekano mzuri na rahisi kutumia
• Channel za bure na premium
• Updates za mara kwa mara
• Video player yenye kasi na ubora

Pakua Washa TV leo na ufurahie burudani bila mipaka kupitia simu yako.
Developer email
washaruninga@gmail.com
Current version
1.0.8
Android version
7.0

Screenshots

Washa Tv screenshot 1Washa Tv screenshot 2Washa Tv screenshot 3