Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia

850418082

Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia app icon
10,000+Free
Books & ReferenceEveryoneVersion 1.0.1Updated 6/3/2026, 10:21:36 PM
Open in Store
Novena ya Mt. Rita wa Kashia ni programu ya kiroho iliyoundwa mahsusi kwa wakristo na watu wote wanaotamani kuimarisha maisha yao ya sala. Kupitia programu hii, unaweza kufurahia na kushiriki ibada maarufu za Mt. Rita, anayejulikana sana kama mtakatifu wa mambo yasiyowezekana.

Programu hii inajumuisha novena mbili kuu ambazo zimekuwa msaada mkubwa kwa waamini wengi duniani:

✨ Novena ya siku 9
Hii ni sala inayosaliwa kwa siku tisa mfululizo. Kila siku kuna sala maalum, tafakari, na nia za sala ambazo zinaongoza mwamini kumkaribia Mungu kwa njia ya Mt. Rita. Kupitia novena hii, unaweza kuomba neema, nguvu, uponyaji na faraja katika changamoto za maisha yako ya kila siku.

✨ Novena ya masaa 15
Hii ni sala ya pekee inayosaliwa kila baada ya saa moja kwa muda wa masaa kumi na tano mfululizo. Kila saa unapata sala na tafakari maalum, zikikusaidia kuendelea katika mwendelezo wa maombi ya kina, yakikupeleka hatua kwa hatua katika ukaribu na Mungu. Sala hii imekuwa chanzo cha miujiza na majibu kwa watu wengi waliyoisali kwa imani.
Developer email
info.ravensconssulting@gmail.com
Developer website
https://ravensapps.com
Released
Sep 12, 2025
Current version
1.0.1
Android version
6.0

Screenshots

Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia screenshot 1Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia screenshot 2Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia screenshot 3Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia screenshot 4Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia screenshot 5Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia screenshot 6