Kitabu cha Swala na kuswali

Bongoclass

Kitabu cha Swala na kuswali app icon
100,000+Free
Books & ReferenceEveryoneVersion 1.0.2Updated 7/29/2025, 4:54:31 PM
Open in Store
Hiki ni kitabu kitakachokupa mafunzo ya swala, namna ya kuswali kama alivyoswali Mtume Muhammad (s.a.w) na masahaba zake.
Utajifunza:-
1. Jinsi ya kutia udhu
2. Kuondoa najisi
3. kuoga na kujitwaharisha
4. Sharti za swala
5. Nguzo za Swala
6. Dua za kwenye swala
7. tahiyatu
8. Swala ya Mtume
9. Dua baada ya swala
10. Yanayoharibu swala
11. Sunnah za swala

Kama utaona kuna makosa yeyote ya kiuadhishi ama kifahamu, tafadhali wasiiana nasi.
Developer email
skyclassbongo@gmail.com
Developer website
https://bongoclass.com
Released
Jul 18, 2021
Current version
1.0.2
Android version
6.0

Screenshots

Kitabu cha Swala na kuswali screenshot 1Kitabu cha Swala na kuswali screenshot 2Kitabu cha Swala na kuswali screenshot 3Kitabu cha Swala na kuswali screenshot 4Kitabu cha Swala na kuswali screenshot 5Kitabu cha Swala na kuswali screenshot 6