Jangwani Yetu (Yanga Usajili)
Dzentra
Jangwani Yetu ni App ya mashabiki wa Yanga SC iliyoundwa kwa ajili ya kuwaleta karibu zaidi na taarifa zote za michezo kwa haraka na kwa urahisi. Kupitia App hii utapata habari za Yanga, magazeti ya michezo, matokeo ya mechi (magoli), video za highlights, pamoja na taarifa za usajili wa wachezaji.
App hii sio rasmi ya klabu ya Yanga SC, bali ni jukwaa la mashabiki kwa mashabiki, linalolenga kuhabarisha, kuburudisha na kuunganisha wanayanga popote walipo.
📌 Vipengele vikuu:
Habari za Yanga SC kila siku
Magazeti ya michezo
Magoli & matokeo ya mechi
Highlights za michezo
Taarifa za usajili
App hii sio rasmi ya klabu ya Yanga SC, bali ni jukwaa la mashabiki kwa mashabiki, linalolenga kuhabarisha, kuburudisha na kuunganisha wanayanga popote walipo.
📌 Vipengele vikuu:
Habari za Yanga SC kila siku
Magazeti ya michezo
Magoli & matokeo ya mechi
Highlights za michezo
Taarifa za usajili
Developer email
dzentraofficial@gmail.com
Developer website
https://jangwani-yetu-website.vercel.appCurrent version
1.0.13
Android version
7.0