TanzMED - Afya Kiganjani
Africa Healthtech LTD
0.0 stars100,000+Free
Health & FitnessEveryoneVersion 7.0.9Updated 4/14/2026, 7:42:13 AM
Open in StoreTanzMED ni app ya afya inayokuleta pamoja madaktari mtandaoni, hospitali, madawa (ePharmacy) na urembo, vipimo vya maabara, huduma za nyumbani, na tathmini ya afya kwa kutumia AI - yote ndani ya app moja.
Afya yako. App moja. Wakati wowote, Popote.
๐จโโ๏ธ Zungumza na Daktari Mtandaoni
Pata ushauri wa kitabibu kwa chat au video call na madaktari waliothibitishwa kwa njia ya mtandao popote ulipo.
๐ Huduma za Afya Nyumbani (Homecare)
Weka miadi ya wauguzi, madaktari au walezi kwa huduma salama na za kitaalamu nyumbani kwako.
๐ง Afya ya Akili (Mental Health)
Ongea na wataalamu wa afya ya akili, fanya tathmini ya afya ya akili, na tumia zana za kujijali (self-care) kwa ustawi wa kisaikolojia.
๐ค Tathmini ya Afya kwa AI
Pata tathmini ya dalili zako kwa AI, mwongozo wa hatua inayofuata, na mapendekezo ya kiafya kwa haraka.
๐คฐ Afya ya Mama na Mtoto
Fuatilia ujauzito, chanjo, ukuaji wa mtoto, na upate ushauri wa wataalamu wa afya ya mama na mtoto.
๐ธ Afya ya Mwanamke
Fuatilia mzunguko wa hedhi, elimu ya uzazi, na afya ya uzazi, pamoja na ushauri kutoka kwa madaktari wa wanawake.
๐ฌ Kijiwe cha Afya (Health Space)
Uliza maswali ya afya, shiriki mijadala, fuata wataalamu, na jifunze kutoka kwa jamii ya afya - hata kwa faragha (anonymous) inapohitajika.
๐ Duka la Dawa Mtandaoni (ePharmacy) & Maabara
Agiza dawa mtandaoni, weka miadi ya vipimo vya maabara, na pata huduma karibu na ulipo kwa urahisi.
๐ Makala za Afya & Ushauri
Soma makala 600+ zilizoandikwa na kuthibitishwa na madaktari kuhusu magonjwa, lishe, kinga na afya kwa ujumla.
๐ฅ Miadi ya Hospitali
Wasiliana na hospitali, weka miadi na madaktari bingwa wa hospitali, maabara, na madaktari bingwa kwa urahisi kupitia app.
TanzMED - Afya mkononi mwako.
โ ๏ธ Kanusho la Kitabibu
TanzMED haitoi utambuzi rasmi wa magonjwa na haibadilishi nafasi ya daktari au hospitali. Kwa huduma za Afya za dharura, wasiliana na watoa huduma za afya walio karibu nawe mara moja.

Developer email
info@tanzmed.africa
Developer website
https://tanzmed.africaReleased
May 2, 2018
Current version
7.0.9
Android version
9