Yako Job

Bexa Microfinance

Yako Job app icon
5,000+Free
BusinessEveryoneVersion 4.0.0Updated 9/20/2026, 12:42:16 PM
Open in Store
Yako Job ni app inayokusaidia kupata matangazo ya ajira mpya kwa urahisi na haraka. Kupitia app hii unaweza kuona nafasi mbalimbali za kazi zilizosasishwa mara kwa mara katika sehemu moja bila usumbufu.

App imeundwa kuwa nyepesi, rahisi kutumia, na kumwezesha mtumiaji kuona ajira mpya muda wowote bila hatua nyingi.

Vipengele vya App:

Matangazo mapya ya ajira kila wakati
Muonekano rahisi na unaoeleweka
App nyepesi na yenye kasi
Rahisi kutumia kwa kila mtu

Yako Job inalenga kurahisisha safari ya kutafuta kazi kwa kukuletea taarifa za ajira moja kwa moja kwenye simu yako.
Developer email
info@yakojob.com
Developer website
https://yakojob.com
Released
Apr 2, 2026
Current version
4.0.0
Android version
6.0

Screenshots

Yako Job screenshot 1Yako Job screenshot 2Yako Job screenshot 3Yako Job screenshot 4