Muvi kali

IVAN VISION COMPANY

Muvi kali app icon
4.7 stars409 reviews10,000+Free
EntertainmentEveryoneVersion 13.0.0Updated 1/20/2026, 1:16:28 PM
Open in Store
Karibu Muvikali! – App ya kusoma muhtasari wa filamu kwa lugha ya Kiswahili.

Muvikali ni app inayokupa maelezo ya stori za filamu mbalimbali kutoka duniani kote, kwa Kiswahili fasaha. Tunawasilisha muhtasari mfupi na maelezo ya kina ya filamu ili kusaidia watumiaji kuelewa kilichotokea kwenye filamu hizo – kwa njia ya simulizi, si kwa kuonyesha video.


Welcome to Muvikali! – The app for movie story recaps in Swahili.

Muvikali offers summaries and story explanations of popular movies in a simple and engaging way for Swahili speakers. Whether you’re looking to understand the plot of a trending film or just enjoy storytelling, this app is for you.

Kwenye app utapata:

* Muhtasari wa filamu mpya na maarufu
* Maelezo ya stori kwa Kiswahili rahisi kuelewa
* Burudani ya kusoma bila kuhitaji kutazama filamu

What you’ll find:

* Summaries of trending and classic movies
* Storylines explained clearly in Swahili
* No videos or streaming – just storytelling

Disclaimer / Angalizo:
This app **does not stream, host, or distribute full movies or videos**. We only share cover images and brief recaps strictly for informational and educational purposes.
Hatutoi video, hatusambazi filamu, wala hatuhifadhi maudhui yoyote ya hakimiliki. Tunazingatia sera zote za Google Play na sheria za hakimiliki.

Pakua Muvikali sasa na uanze kufurahia hadithi bora za filamu kwa Kiswahili!
Download Muvikali today and enjoy the best movie stories – in Swahili!
Developer email
muvikali001@gmail.com
Developer website
https://blmtec.co.tz/
Released
Aug 3, 2025
Current version
13.0.0
Android version
5.0
Reviews & Ratings
4.7
out of 5
5
4
3
2
1
😊 Highly rated by users
409 reviews

Screenshots

Muvi kali screenshot 1Muvi kali screenshot 2Muvi kali screenshot 3Muvi kali screenshot 4Muvi kali screenshot 5Muvi kali screenshot 6