GoFundi
APAZ NETWORK
GoFundi ni app inayokusaidia kupata mafundi wa kuaminika kwa haraka na urahisi.
Unahitaji fundi wa umeme, mabomba, fundi AC, fundi wa CCTV, fundi wa kuchomelea au huduma nyingine za ufundi? GoFundi inakuunganisha na mafundi waliothibitishwa karibu yako.
Kwa kutumia GoFundi unaweza:
✔ Kutafuta fundi wa karibu
✔ Kupata huduma kwa haraka
✔ Kuona aina mbalimbali za mafundi
✔ Kuwasiliana moja kwa moja na fundi
✔ Kupata mafundi wa kuaminika na wenye uzoefu
✔ Kuomba huduma muda wowote
Huduma zinazopatikana ni pamoja na:
• Umeme
• Mabomba
• AC Repair & Installation
• Ukarabati wa vifaa vya electronic
• Uchomeleaji
• CCTV & Security Systems
• Useremala
• Na huduma nyingine nyingi za ufundi
GoFundi — Fundi mkononi, amani moyoni.
Unahitaji fundi wa umeme, mabomba, fundi AC, fundi wa CCTV, fundi wa kuchomelea au huduma nyingine za ufundi? GoFundi inakuunganisha na mafundi waliothibitishwa karibu yako.
Kwa kutumia GoFundi unaweza:
✔ Kutafuta fundi wa karibu
✔ Kupata huduma kwa haraka
✔ Kuona aina mbalimbali za mafundi
✔ Kuwasiliana moja kwa moja na fundi
✔ Kupata mafundi wa kuaminika na wenye uzoefu
✔ Kuomba huduma muda wowote
Huduma zinazopatikana ni pamoja na:
• Umeme
• Mabomba
• AC Repair & Installation
• Ukarabati wa vifaa vya electronic
• Uchomeleaji
• CCTV & Security Systems
• Useremala
• Na huduma nyingine nyingi za ufundi
GoFundi — Fundi mkononi, amani moyoni.
Developer email
apaznetwork@gmail.com
Developer website
https://gofundi.great-site.net/Current version
1.0.0
Android version
7.0